RAMBARAMBA(CHOPSTICK)
JINSI YA KUTENGENEZA
Injika maji liter moja weka jikoni changanya na corn stach kisha koroga mpaka unakapoona imekuwa nzito kisha tia sukari korga mpaka ichanganyikane vzr epua ipoe
Osha maprachichi kisha to a maganda na uchafu Wa ndani kisha kata saizi Brenda inabudu kusaga na tia maziwa ,na maji nusu liter kisha vanila powder kama utapenda saga kwa pamoja kisha
Zipo aina nyingi za chopstick ila Leo nakuletea chopstick za OVACADO
MAHITAJI
Ovacado3
Maziwa glass 1
Corn starch gm50
Sukari gm 250
JINSI YA KUTENGENEZA
Injika maji liter moja weka jikoni changanya na corn stach kisha koroga mpaka unakapoona imekuwa nzito kisha tia sukari korga mpaka ichanganyikane vzr epua ipoe
Osha maprachichi kisha to a maganda na uchafu Wa ndani kisha kata saizi Brenda inabudu kusaga na tia maziwa ,na maji nusu liter kisha vanila powder kama utapenda saga kwa pamoja kisha
Baada ya kusaga chukua mchanganyiko wako Wa awali kisha changanya pamoja vyote hakikisha inaroga mapaka iwe smoth kabisa baada ya hapo. Chukua vifungasio (vgandishio) kisha mimina uji wako kisha anza kugandisha tayari kwa kuliwa
Asante ni kwa kunisikiliza na karibuni tena kwa maoni yako maoni yako ni ya muhimu kwangu
Ubarikiwe sana Karibu ktk group LA afya na mapishi kwa being nafuu ya 3000 tu utajifunza vtu lukuki nmba za WhatsApp ni
0766866984
0715384812
Au tembelea afyanamapishi.blogspot.com
prosperf72@gmail.com
Pia tupo ktk Facebook afya na mapishi
Karibuni by Prosper Mushi
Comments
Post a Comment