JINSI YA KUPIKA SAMBUSA

SAMOSA...Sambusa
Tujifunze jinsi ya kutengeneza sambusa 
MAHITAJI YAKE NI :- 
Nyama ya kusaga kg 1
Ajinamoto kjk 1 cha chai
Vitunguu kama 10
Karoti 5
Gligilani puch 1
Swaumu na tangawizi iliyosagwa 1/2 kkmbe
Chumvi kiasi upendacho
Unga wa ngano
  Jinsi ya kuandaa:-
Marinetti nyama na swaumu na tangawizi, ajinamoto kisha changanya vizuri kisha iache kidogo iingie viungo kama dk 10 au tano kisha injika jikoni iiive mpka ikauke kabisa kisha weka pembeni iPod

Chop vitunguu maji na karoti na gligilani au korienda kisha changanya na nyama iliyokuwa tayari imesha iva vizuri kisha baada hapo tunaingia hatua ingine

Hatua inayofuata ni kutengeneza manda ya sambusa wengine hupenda kukunua manda ya bakresa ila mmi huwa napenda kutengeneza manda yangu mwenyewe
Hatua jinsi ya kutengeneza  manda

Unga wa ngano 1/2 na 4
Chumvi kidogo sana
Changanya vzr na unga kisha  unaweza kutumia maziwa au maji wwee mwenyewe ukipenda uchaguzi wako

Baada ya hapo unaingia SSA kukanda unga wako wa manda ,hakikisha usiwe mlaini wala kuwa mgum sana
Kata madoge yanayoendana yaani kulingana ukubwa kisha sukuma dizaini ya chapati ila isiwe nyembambaa  kisha

Pakaza mafuta upande mmoja kisha nyunyiza unga kwa mbali kisha weka donge uliosukuma weka juu take tenza endelea hivyo mpaka madonge yako yaishe kisha
Sukuma kwa pamoja mpaka iwe nupyembamba upana wa chapati ya kawaida

Andaa moto wa kawaida kama umepalia wali kisha chombo cha kuongea kushomea chapati kisha ziweke moto uwe kiasi kisha  baada ya hapo bandua moja moja mpaka ziishe kisha kata kipimo unachotaka ili ufunge sambusa azako

Funga sambusa zako kisha zichome ktk mafuta masafiii sana  kisha choma sambusa zako hpbaada ya hapo sambusa zipo tayari kwa kuliwa

Karibu sana ktk afya na mapishi page Facebook na afyanamapishi.blogspot.com
Au  chefprospermushi.blogspot.com
prosperf72@gmail.com
0766866984
Group LA Afya na mapishi karibuni sana

Comments