FAIDA ZA JUISI YA KAROTI NA TANGAWIZI
afyanamapishi.blogsport.com
0715 384812,0766866984
0659477470,0786672136 NA CHEF PROSPER MUSHI
LEO NIMEONA NIWALETEE HILI NAFIKIRI UTAPATA KITU HATA KTK KUBORESHA AFYA YAKO KWA KUGUNDUA FAIDA ZA JUISI KAROTI NA TANGAWIZI
Juisi ya karoti na tangawizi ni rahisi kutengeneza na ina faida kubwa sana ktk mwili wa binadam na cha kushsngaza zaidi ni tamu mnoo twende pamoja tujue jinsi ya kuandaa mpaka kunywa
TANGAWIZI PIA NI KIUNGO KIZURI SANA HUJULIKANA NA KWA KUONGEZA NGUVU MWILINIHUFANYA MZUNGUKO WA MMENG'ENYO WA CHAKULA KUFANYA KAZI YAKE VIZURI ZAIDI
PIA HUPUNGUZA MKUSANYIKO WA MAFUTA MWLINI
Anza kwa kuosha karoti na madanzi yako kisha menya na hakikisha unamenyakisha tumia juisi ya machungwa kama maji ya kusagia matunda yako
hapo tayari furahia ssa juisi yako kwa afya yako na wale wenye upungufu wa kinga mwilini
ASANTE afyanamapishi.blogsport.com
Whatsapp group 0715384812
afyanamapishi.blogsport.com
0715 384812,0766866984
0659477470,0786672136 NA CHEF PROSPER MUSHI
LEO NIMEONA NIWALETEE HILI NAFIKIRI UTAPATA KITU HATA KTK KUBORESHA AFYA YAKO KWA KUGUNDUA FAIDA ZA JUISI KAROTI NA TANGAWIZI
Juisi ya karoti na tangawizi ni rahisi kutengeneza na ina faida kubwa sana ktk mwili wa binadam na cha kushsngaza zaidi ni tamu mnoo twende pamoja tujue jinsi ya kuandaa mpaka kunywa
Juisi hii itabadilisha kabisa mwonekano wako wa ngozi pia mwili kuwa na joto la kutosha hasa kuzingatia kipindi hiki cha baridi kali na sio wale walio ktk ukanda wa joto wasitumie la hasha hitumiwa sehem yoyote kikubwa hapa najaribu kuowanisha faida zake hasa kwa wale wenye ngiri ,ugonjwa wa macho mmi nilikuwa natumia miwani lakini kwasasa situmiii tena miwani kwasababu ya hiii juisi
INALETA MABADILIKO MAKUBWA SANA
JUISI HII KAROTI ITAKUPA DOZI NZURI SANA HASA KWA WALE WENYWE TATIZO LA NGOZI NA MCHO[beta -carotene]ITAKAYOKUSAIDIA KUBOOST [ immune system]PIA HUZIDISHA NGUVU YA MACHO PAMOJA NA NGOZITANGAWIZI PIA NI KIUNGO KIZURI SANA HUJULIKANA NA KWA KUONGEZA NGUVU MWILINIHUFANYA MZUNGUKO WA MMENG'ENYO WA CHAKULA KUFANYA KAZI YAKE VIZURI ZAIDI
PIA HUPUNGUZA MKUSANYIKO WA MAFUTA MWLINI
TANGAWIZI HUTUMIKA SEHEM TOFAUTI SANA KWA FAIDA ZAKE LUKUKI
TATU MACHUNGWA
nunua machungwa fresh ila ukipata manzi ndo mazuri zaidi pia hufanya juisi yako kuwa tam zaidi kuongeza vitamini C
TANGAWIZI UBALANSI SAIZ YA KIGANJA CHAKO ISIZIDI
Madanzi au machungwa
Anza kwa kuosha karoti na madanzi yako kisha menya na hakikisha unamenyakisha tumia juisi ya machungwa kama maji ya kusagia matunda yako
ASANTE afyanamapishi.blogsport.com
Whatsapp group 0715384812
Asante kwa darasa
ReplyDeleteThanks bro nimeongeza kitu
ReplyDelete