JINSI YA KUCHOMA NDAFU
MAHITAJI
afyanamapishi.blogsport.com
afyanamapishi.blogsport.com
Unahitaji use na vitu vifuatavyo ili kuweza kukamilisha kuchoma mbuzi wako
-Vitunguu swaumu vilivyosagwa
-Tangawizi iliyosagwa pia
Mafuta kiasi cha nusu Lita
-Beef masala
-Celery... Isage pamoja na swaumu
-Chumvi kiasi kidogo maana nayo ikikizidi sio nzuri
Stopiliwili ya kuchoma mbuzi
-mkaa :- ila wwe sijui
Mbuzi ambae tayari ameshachunwa na kutolewa uchafu wa tumboni
Jinsi ya kutengeneza marination yako kwajili ya kuchoma mbuzi wako
1)Celery ,unachanganya swaumu, mafuta,tangawizi,chumvi,beef masala
2)Baada ya hapo unatengeneza sehem nzuri ya kuchoma kuna wengine wanatumia majiko Yale ya kuokea nyama wengine wanatumia majiko ya asili kama hivi unavyoona mmi ninanvyofanya hapo
Pia unaweza kutumia njia ya kienyeji unachimba cehem unaona hapatakusumbua kuchomea mbuzi wanko
Baada ya kuchimba weka mkaa wako sijui wwe utapendelea kutumia nni baada ya hapo chukua marination yako anza kumpaka mbuz mka ndani kisha mwache Kwa dk 5
Baada ya hapo unaanza kumchomakama hiviiii
Tuone njia
hii ndo njia ya kawaida niliyosema kuwa unachimba shimo ili ndafu wako aive vizuri mpaka ndani kabisa ...
Baada ya hapo unamwandaa kwajili ya kupelekwa mezani kama hivi
Baada ya kumpamba
Asante Kwa kuwa nmi mmi Chef Prosper Mushi
Nakutakia maandalizi mema ya Christmas na mwaka mpya....
Kama unahitaji kupikiwa chakula chochote nipo tayri be maelewano tu
Nmba zangu ni 0766866984,0659477470
prosperf72@gmail.com
chhttp://afyanamapishi.blogspot.com/2017/12/afya-na-mapishi.htmlef prosperous hi.blogspot. com
afyanamapishi.blogspot. com
Asanteni karibuni
This comment has been removed by the author.
ReplyDeleteAsante sana
Delete