Kina baadhi ya maoni ya watu wameomba
Niwaleetee pishi LA pilao hapo najua pishi hiki kila mmoja anajua Jinsi ya kupika pilao
Ila kila mmoja
Karibuni jikoni
Leo tunapika pilao (PILAO)
MHAITAJI
Mchele wako safi supa Kg 1
Au inategemea wingi was watu ulionao
Viungo vya pilao kjk kikubwa 1
Swaumu na tangawiz vjk 1 kikubwa
Vinguuu maji vilivyokatwa 4
Nyama kg 1.5
Viazi 5
Ajinamoto kjk kiasi upendacho
Mafuta ya kupika chipa ya soda
Na SSA naona ya kupika
Ili pilao lako liwe na ranging nzuri zingatia sana ukaangapo vitunguu vyako visiunhuee sana
................Weka sufuria yako jikoni...........
Weka sufuria yako ni kisha anza na vitunguu maji vikianza kuiva weka mchanganyiko wa swaumu na tangawizi endelea kukoroga ukiona vinakaribia kuwa brown weka viungo vya pilao ili vimalizikie kuiva na vitunguu
Tia nyama uliyochemsha kidogo isiww imeiva san a kiasi ambacho unajua ukiwa Kwa pilao mmpaka Ive na nyama itakuwa imeiva na sio ngim Baada ya hapo tia viaz
Baada ya hapo weka ajinamoto na maji kulinga na mchele wako kisha koroga weka chumvi kiasi kisha funika ichemke vizur kisha weka mchele wako amabao uliouosha kisha koroga hakikisha maji hapo sawa kulingana na mchele......
Baada ya hapo funika vizuri baada ya dk 25-30 angalia pilao lako litakuwa tayari pindua na hapo najua itakuwa tayari kabisa kuliwa
Baada ya hapo pilao lako litakuwa tayari kama unavyoona hapo chini👇
Hapo ssa☝
Ndo inavyoonekana ukiwa mezani
Mungu akubariki sana
Na nakutakia maandalizi ya sikuku njema ya Christmas na mwaka mpya
Ni wako Chef Prosper Mushi
Kama unahitaji kupikiwa nami au unahitaji ushauri wangu wasiliana nni Kwa.:-
0766866984
0659477470
prosperf72@gmail.com
afyanamapishi.blogspot. com
chefprospermushi.blogspot. com
Krbuni sana
Comments
Post a Comment