JINSI YA KUPIKA BIRIANI NA CHEF PROSPER

Kama nilvyowahidi ktk group kuwa ntawaleea Biriani jikoni jikoni ya Leo
 Msikose kuingia SSA ktk blogger yangu ya Afya na mapishi ......pia Nina appy ya Afya na mapishi pia waweza kudaulod ili kula ninachokiweka ktk page ukipate
         SSA karibu sana ktk maandalizi yetu ya kupika biriani .....


 .................BIRYN NG'MBE........
MAHITAJI:-
Biriani masala kjk cha chakula1
Mchele wa  Basnati Nusu na robo
Nyanya kuku au ngombe
Maziwa mtindo glas 1
Karafu Sol 5
Iliki Sol 5
Gligilani puch 1
Nyanya 6 zilizoiva vizuri
Karoti 3 
Hoho 3
Mharage machanga puch 2
Chumvi kiasi
Ajinamoto vjk 2 vya chakula
Swaumu na tangawizi kjk kubwa cha chakula
Mafuta robo kikombe

  .....Namna ya maandalizi na kupika ......
Kama ni ngombe Basi kata nyama yako weka tangawizi na swaumu na binzari nyembamba  
Kisha injika jikoni iive taratibu.....baada hapo injika maji jikoni yakishachemka tia iliki na karafuu na biriani masala mfinyo was vdole kisha tia mchele wako ukoroge mpka utakapoona umebakia kiiini Kwa mbali

Baada ya hapo uchuje kisha  koroga rangi yako uliyochakua ...FOOD COLOR... weka rangi mbili tofauti ila utakazopendezewa 

Hatua inayofuata chukua sufuria yako anza na kukaanga vitunguu maji ulivyokata sales  vikaange viwe brown ya kaida kisha kaanga viazi  ili yokata pia kisha weka pembeni

 Anza na kukaanza rost yako ya Julia biriani SSA
Weka mafuta uliyokaangia vitunguu na viazi kiasi isizidi weka vitunguu vyakoendelea kukoroga,tia swaumu tangawizi baada ya kuwa kama vinakuwa brwn tia nynya uliyosaga tia karoti na gligilan yako na celery kidogo 

Tia tomatoe past moja ya pact tia nyanya tia kidogo viungo vya biriani masala hii weka kidogo maana kina watoto hawali pilipili.....tia mtind kisha funika Kwa dk 5 hakikisha haiungui chini

Hatua inayofuata gawa wali wako kisha weka roste yako itandaze vzr kisha weka rangi zako kidogo na kwa utaratibu...tia vitunguu na viazi ulivyokausha hapo awali kisha roste ...kisha weka wali na vitunguu na rangi juu kisha injika jikoni weka moto mdogo taratibu acha Kwa dk 15 hadi 25
Baada ya hapo angalia pindua biriani yako IPO tayari pindua kisha pakua biriani yako IPO tayari kuliwa


Kuna njia mbili za kupika biriani 
Kuna separate biryn
Na combain biriyn maelekezo uliyoyana hapo juu ni 


Comments