NDIZI MSHARE........
ndizi hizi ni asili ya Moshi Kwa wale wanaotokea Moshi wanaelewa uzuri sana ndizi mshare
NMahitaji yako
Ndizi kiasi unachotaka ....ila mmi nimepika kiasi cha kutosheleza watu 200
Nyama kg 1
Vitunguu maji 3
Vitunguu swaumu
Tangawizi
Ajinamoto
Simba mbili au paprika powder
Mafuta kiasi
Hoho 2
Karoti 2
Starch (Corn starcho)
Jinsi ya kuandaa na kupika ndizi zako
Kwanza kabisa menya ndizi kisha ziweke jikoni Kwa maji kidogo ziondoke zimichemka kidogo epua chuja maji ziweke pembeni
Saga swaumu na tangawizi pamoja viweke pembeni na nyama iandae vizuri Kwa kuiosha kisha injika jikoni na weka vifuatavyo
Ajinamoto kjk cha chai kimoja
Tangawizi naswaumu uliuotwanga
Chimvinkiasi(Ukumbuke sana chumvi sio nzuri sana ikiwa nynhi Kwa chakula pia epuka sana chumvi ya kuongeza wakati chakula kipo mezani....ni hatari Kwa afya yako)
Menya vitunguu maji kta mtindo wa quips ,karoti,hoho vyote kata mtindo mmoja
Twende jikoni SSA Kwa kupika ndizi zetu
Injika fufuria yako jikoni weka mafuta kiasi unachoona kinakutosha,weka vitunguu maji swaumu viive pamoja kisha tia karotitia simba mbili koroga tia mchuzi kidogo ili kufanya ukavu wa viungo kulainika kisha tia nyama uliyochemsha
Kisha tia ndizi koroga vizuri kisha tia mchuzi was nyama uliobakiza hakikisha mchuzi unaoweka unaendana na ndizi ili kufanya ndizi zako kuiva vzuri
Kisha funika badaada ya dk 15-20
Koroga starch kwenye chombo kidogo kiasi cha vjk 2vya chakula tia hoho na hivyo starch usikoroge tena maana hapo ndizi zimeshaiva zitafunjika zitapoteza mwonekano nzuri kwenye
Baada ya hapo chukua vishikio kuwa kama unazizungusha zungusha ili starch ichanganike vizuri
Hapo ndizi zako zipo tayari kabisa Kwa kuliwa
Ndizi zako zinakuwa na mwonekano huu
SSA karibu tulee na naonja nione chakula kitam auuu?????
Asanteni nawatakia mapishi mema najua utafurahia
Ni mmi wenu Chef Prosper
0766866984
0659477470
prosperf72@gmail.com
Cheafprospermushi.blogspot. com
afyanamapishi.blogspot. com
Karibuni sana
Ndizi zako zinakuwa na mwonekano huu
SSA karibu tulee na naonja nione chakula kitam auuu?????
Asanteni nawatakia mapishi mema najua utafurahia
Ni mmi wenu Chef Prosper
0766866984
0659477470
prosperf72@gmail.com
Cheafprospermushi.blogspot. com
afyanamapishi.blogspot. com
Karibuni sana
Comments
Post a Comment