ROST BEEF VEGETABLE

ROST BEEF VEGETABLE
afyanamapishi.blogsport.com
Karibuni jikoni tujifunze Leo nilichopika ....Leo nimmepika rosy ya ya ngombe unayoweka kula na ugali wali MASH potatoes

MAHITAJI YAKO NI HAYA YAFUATAYO
Nyama kg 1
Swaumu na tangawizi ilisagwa
Vitunguu maji
Maziwa mtindi yaaiwe machachu
Chumvi kiasi 
Ajinamoto kjk 1cha chakula
Nazi moja (Ya Azam 1)
Karoti 3
Hoho 4
Maharagema machanga pachu 2
Nyanya kama 5
       MAANDALIZ YAKE
Anza na kukata nyma yako mtindo was quips au mtindo wowote utakaupenda 
Na baada hapo OSHA na weka jikoni tia mchanganyiko wako wa swaumu na tangawizi
Kisha funika endelea kuaandaa mengine 

Kata viungo vyako karoti, hoho,maharage machanga,vitunguu maji,vyote changanya pamoja .......na baada ya hapo tia mafuta endelea kukaanga tia paprika powder kiasi na 
Hakikisha nyama imeiva vizuri kisha tia ktk mchanganyiko wako 
Changanya vizuri kisha tia tomato past 2 endekelea kukoroga tia swaumu tangawizi kisha koroga funika

Baada ya hapo koroga hakikisha kina dojo LA kutosha tia mchu uliobakiza kwenye nyama ya kuchemsha koroga vjk 3 vya corn  starch changanya pamoja na Nazi ya azam kisha tia pamoja  changanya vizuri malizia na mtind akoroga 

 Baada ya prose's zote  rost yako IPO tayari Kwa kuliwa
Kama unavyoiona unaweza Julia na wali ,ugali,mash potatoes, ni
Karibuni sana na jikoni na Chef Prosper Mushi

Karibu sana usikose
Ni wako Chef Prosper Mushi
0766866984
0659477470
prosperf72@gmail.com
chefprospermushi.blogspot. com
afyanamapishi.blogspot. com

Comments