ROST LA UYOGA NA CHEF PROSPER

ROST YA UYOGA:
           Rost ya Mbogamboga na Uyoga
Kama mnavyojua Uyoga unafaida nyingi sana ktk mwili wa mwanadam hasa kuuongezea mwili virutubisho sana kwa wale kwenye magonjwa ya saratani na hata wasiokuwa na ugonjwa
👆👆👆👆,


Karibu sana jikoni tuone maandalizi yake na Jinsi unavyopika

       Mahitaji:-
Uyoga wako kg 1
Karoti 3
Hoho 3
Swaumu iliyosagwa vjk 2 
Tangawizi kjk 1 kama utapendelea
Magrarine or butter 25g
Maziwa fresh 1/2 glass
Vitunguu maji 3
Leex 1
Corienda sales 1
Nyanya maji iliyosagwa kikombe 1
Tomatoes past 1 ya pack (inazingatia wengi wa mboga yako)
Ajinamoto kjk cha chai 1
Nazi ukiwa utapenda 1

        Jinsi ya matayarisho na kupikwa mwenyewe
Anza na kuandaa vitu vyako kwa usafi kabisa na baada ya hapo 
Kata viungo vyako mtindo mmoja yaani kula kiungo vifanane kwa mkato 
Hapa mmi nimetumia mkato wa (Julian Shep)

OSHA mboga zako vizur kisha weka Sufuria jikoni na anza kuweka butter au (margarine) na weka Uyoga kwanza na swaumu na  karoti endelea kukoroga 

Hatua inayofuata weka mbogazote kwa mpigo kisha acha kwa muda na weka maji kidogo endelea kukoroga ongeza nyanya ikishaiva kiasi tia tomatoes past koroga ichanganyikane vzr

Ukishaona imeiva vzur weka maziwa koroga na hapo SSA unaweza kuweka msago wa viasi mviringo kama 3 kisha ikishakuwa zito ongeza maziwa kama yamebakia 

Weka naz yako kisha chumvi kiasi upendacho...... Acha kwa muda wa dk 3 baada ya hapo mno IPO tayari kama hiiviii unavyoona
     👆👆👇👇👇👇👇👇
👆👆👆
👆👆👆Hapo SSA mwonekano wako mboga yako huo hapo mmi nimependa mboga yangu niweke na ugali ila wwe unaweza kuamua uke na chakula kingine kama vegetables Rice,payoeller Rice,biriani,.... Nk.
Wako Chef Prosper Mushi 
0766866984
0659477470
prosperf72@gmail.com
afyanamapishi.blogsugonjwa

Comments