πππMaandaziπππ
Maandalizi yake ni haya yafuatayo:-
Unga kg 1
Amira vjk 4
Chapa maandashi kjk 2cha chai
Maziwa glass 1
Sukari kikombe cha chai 1/2
Mafuta 1/4 kikombe
ππππππππ
Jinsi ya kukanda na kuchoma
Chukua kikandio chako(kibesen)kisha tia unga amira chapa maandashi,sukari ,mafuta ,kisha changanya vizuri kisha tia maziwa ukiona badonunga ngum tumia maji au kama una maziwa weka maziwa unga usiwe mgumu wala usiwe mlaini sanakisha tengeneza donge lako kama hiviππππ
πππhapo ni baada kukanda na unasukuma vizuri baada ya kumaliza kukanda hakikisha unga wako unakuwa smooth baada ya kukanda kisha unaacha yaumuke vizur ola yasiumuke sana
πππ
Hatua inayofuata unasukuma ili upate zaizi utakayopenda kama hivi unavyoona hapo chiniπππππ
Baada ya kusukuma unakata saiz upendacho mwenyewe
Mmi nimechagua staili hii unayoiona hapo chini
ππππππ
Kisha baada ya hapo unaweka mafuta jikoni na tuanze kuchoma maandazi yako tayari kwa kuliwa kama uonavyo hapo chiniπππ
ππππ
Hapo safi sana kwa chai asubuhi au unaweza kula wakati wowote unaojisikia maana ni malaini vzur
Comments
Post a Comment