Jikoni Leo na Chef Prosper Mushi

Leo tunajifunza kupika kalmati nzuri laini na zinazovutia nikiwa mezani 
Karibuni sana tuwe wote jikoni kwa pishi LA :-
      KALMATI ZA SOUSEGE,NA KALMATI ZA VEGETABLE.    
                           *MAHITAJI*
UNGA KG 1
MAZIWA FRESH LITA 1 au maziwa ya unga kikombe 1
Sukari kikombe cha chai kidogo
Backing powder vjiko 4  
Kama unatengeneza ya SOSEGE unakata SOSEGE ndogo ndogo.kisha vyote una changanya vyote kwa pamoja na unatengeneza uji mzito usiwe mwepsi sana kisha 
Acha kwa dk 15 hadi 20 

Kisha andaa chombo cha kuchomea tengeneza zais uipendayo kama unavyo hapo chini hiyo ndo staiili niliyopnda kutengeneza
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡

Hizi ni kalmati za sousege na sio lazima kuweka hivi kama kipato chako hakiruhusu
Unatakiwa unapoandaa kalmati za sousege au vegetables njia ni hiyo 
Chini hapa kuna kalmati za kawaida ola kuandaa ni kama hizi nyingi he....
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡☝☝☝πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†πŸ‘†
Mwonekano wake ni tofauti kabisa na hizi nyingine hizi utaweka 
Maziwa
Sukari
Baking powder
Baada ya hapo una changanya upate rojo zito isiwe nyepesi itakusumbua 
Asante kwa kuwa nami Chef Prosper Mushi
afyanamapishi.blogspot.com
0766866984 ,WhatsApp group 

Comments