Jikoni Leo na Chef Prosper Mushi

Ni Mara kingine tena chef wenu Prosper Mushi nawaletea pishi LA chapati laini safi sana kwa chai asubuhi
Ungana nami SSA 


    Mahitaji yako ya Chapati ni:-
Unga kg 1
Mafuta 1/2 liter
Gee kiasi kama kjk 1 cha chakula
Sukari vjk 2 vya chakula
Chumvi kijko cha chai
Maziwa fresh I kikombe mmoja

Namna ya kuandaa na kupika chapatinzako

Andaa chombo cha kukandia unga kisha weka unga mafuta kidogo na gee chumvi na sukari kisha changanya pamoja hakikisha unakuwa kama unataka kufinyika hivi ola unapuputika kisha weka maziwa anza kukanda mpka uwe hive ukiona ni mgumu basi tumia maji kidogo usiwe ngum sana 

Kisha sukuma kupata raundi kbwa kisha mpaka mafuta kwa mbali na anza kusokota kisha kata Ringo baada ya hapo SSA una tengeneza madonge ya zaizi unayitaka chapati zakonziwe

Kisha andaa moto wakomkiasi usiwe mkal sana maana unafanya chapati ktkuiva vzr
Kisha choma na andaa mezani kwa kuliwa 

Chapati hii unaweza kuliwa na maini,chako aina yoyote,supu nk

Comments