CHEF PROSPER MUSHI NDANI AYFYA NA MAPISHI
LEO AFYANAMAPISHI INAKULETEA
PISHI LA KUPIKA UBUYU WA ZANZIBARI
MAHITAJI
Sukari vkombe2
Majivikombe2
Nusu kimbechaunga wa ubuyu
Vikombe 4vya ubuyu msafi usiokuwana mchanga
1/4 Pilipili ya unga
1/4 tsp Chumvi
1/4tsp Iliki ya unga
Rngi nyekunduauwwe utakayopendelea
[A]HATUA YA KWANZA
Tayarisha sufuria na uwekemaji jikoni na weka chumvi,sukari,pilipili ya unga,Rangi na iliki ya ya unga
kwa moto wa juu kisha changanya vzri
B]Wakati vinaendelea kupikika utakuta rojo linatoa mapovu endelea tu kukoroga kisha acha rojo liendeleee kupilika vzri
kisha chukua mwiko wako kisha angalia rojo linanata huwa linatakiwa linate kama halinati ujue bado jojo lako halijaiva utaliacha mpaka uonee linanata
C]Baada ya hapo chukua ubuyu wa kokwa mimina kisha koroga vzri kama dk 2 hivi
kisha mimina tena unga wa ubuyu na uendelee kukoroga vzur
Endelea kukoroga vzuri mpaka sukari inaanza kuganda ukiona hivyo basi weka pembembeni umimine upoe hapo tayari ubuyu wako upo tayari kwa kufunga kwa kuliwa na biashara
FAIDIKA NA AFYA NA MAPISHI BLOGGS ITAKUFANYA KUWA
MJASIRIAMALI
PIA KUNA GROUP LA afya na mapishi 0715384812,0766866984,0659477470
afyanamapishi.blogsport.com

Comments
Post a Comment