MAZIWA YA NJUGU MAWE

Maziwa ya njugu nawe:afyanamapishi.blogsport.com


Leo ktk afya na mapishi inakuletea somo la jinsi ya kupata maziwa kwenye njugu mawe na nimazuri sana unaweza kuchemsha kama maziwa fresh na pia ukagandisha .....πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Jinsi ya kufanya ili upate maziwa ni rahisi sana 
πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Mahitaji
Njugu mawe 
Maji ya kutosha
         πŸ‘‰πŸ‘‰Jinsi ya kuandaaπŸ‘ˆπŸ‘ˆ
Osha njugu mawe mpaka ziwe safi kisha ziloweke kwa maji safiiii kabisa baada ya hapo acha kwa muda wa masaa 24
          πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Baada ya hapo weka katika chombo kisafi na maji safi zioshe vizr sana na kuhakikisha maganda nyote yanatoka na kuchukua maji safi uliyochemsha kisha saga ktk Brenda na hakikisha unafanya kiusafi zaidi baada hapo πŸ‘‰πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Chuja vizuri na kurudia tena kuchuja kwa kitambaa cheupe na kisafii yachuje vzr kwa uangalifu 



πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡πŸ‘‡
Baada ya kujua maziwa hayo SSA unaweza kufanya matumizi kwa kuchemsha maziwa fresh au kughandisha mtindi au u naweza kupika chai kama kawaida 
πŸ‘πŸ‘πŸ‘ANGALIZO πŸ‘πŸ‘πŸ‘
Usitumie chombo nikiwa vichafu na maji yasiyochemsha 
Ni faida kwako kujua mengi yahusuyo afya na mapishi kwa kuungana nami Chef Prosper Mushi ktk group la WhatsApp 0766866984,au kwa mawasiliano ya kuongea mojakwa moja ni 0659477470
Au tembelea blogger kwa ....afyanamapishi.blogspot.com
Karibu sana endelea kuinjoy na afya na mapishi

Comments