ROSTI MAIN

ROST MAIN
afyanamapishi.blogsport.com 

 Karibu sana jikoni Leo afya na mapishi Leo tuone jinsi ya kupika maini




Mahitaji yake

                     Roste main.               
Maini kg 1
Vitunguu kg 2
Swaumu iliyosagwa kjk 1
Ajinamoto 1/2 kjk
Chumvi kiasi upendacho
 Nyanya 3 

           JINSI YA KUPIKA 
Kata maini yako uyaoshe vzr kisha injika jikoni tia swaumu na ajinamoto kisha yakikaribia kuiva ,tia vitunguu maji na endelea kuokoroga iliyasishike chini 

Tia nyanya yako uliyokata vizuri au iliyosagwa kama utapenda hivyo sawa ila mmi nimetumia ya kupata maana nimepika kinyumbani zaidi  sijapenda  kuiva SNA 

Hii ni nzuri zaidi kwa kutumia kwa ugali au wali...........
Ni rahisi sana kupika ila matam sana

Comments