Leo tunapika
WALI WA SOUSEG
afyanamapishi.blogsport.com
KARIBU JIKONI AFYA NA MAPISHI
Mahitaji yako jikoni ilinkuweza kupika pishi letu ni:-
Mchele kg1
Vitunguu majani
Mafuta kiasi
Blue band gm 10
Chumvi kiasi
Sousege 5 au zaidi kulingana na unavyitaka
Njegere class moja
JINSI YA KUTAYARISHA NA KUPIKA
Fuatana nami kwa Picha na Maelezo nafikiri utaekewa tu jinsi ya kupika mwenyewe au kuandaa
Kata vitunguu majani kisha weka ktk sufuria utakayotumia kupika wali wako na tia mafuta kiasi yasiwe mengi maana mwishoni tutatumia blue band kwajili ya kunogesha chakula chetu
Endelea kukoroga uzuri kisha ongeza majani ya vitunguu uliyoweka pembeni na endelea kukoroga
Kisha tia mcheke ulioundaa kwa kutia kwenye maji kwa muda wa dk 10
Endelea kukoroga mpaka iwe kama unataka kuwa rangi ya udhurungi
Kisha weka maji kulingana mchele wako utakaoona utaifisha hakikisha kuwa unazingatia vpimo vya maji na mafuta maana vikiziz na chakula kinakuwa kimeharibika
Funika kisha tuendelee na hatua inayofuata:-
Baada ya hapo tukiwa tu nasubiri wali wetu uuve tunaendelea kuandaa njegere na sousege ili wali wetu ukiwa tayari basi tuendeleee
Sousege zetu kama unavyoziona na jinsi tulivyokata na zaidi tu hapa inatakiwa njegere ulizochemshà bilankupoteza rangi yake kisha changanya na njegere

Baada ya tia blue band yako juu kisha changanya vzur mpaka ichanganyike vizuri kabisa na uhakikishe IPO vizuri kisha epua kwa kuandaa mezani
Hapo chakulanchetu kipo tayri kuliwa asante naalmsiki nakutakia mpo mwema barikiwa sna
Asante sana kwa kuwa nami Chef Prosper Mushi
Karibu tena ktk makala ya Afya na mapishi inayokuja
afyanamapishi.blogspot.com
Group LA afyana mapishi ni 0766866984
Comments
Post a Comment