MKATE WA SINIA
afyanamapishi.blogsport.com
Chef Prosper Mushi
Ing:-*Unga Wa mchele vkmbe 4(V.I.P)
*Amira kjk 1
*Sukari km 1
*Yai 1
*Nazi vkb 2
*Tui zito kk 1
*Iliki 2/vanilla.
Jinsi ya kuandaa
**Tumia mchapio au mashine ya kukorogea kama unayo
Tia tui zito na sukari koroga mama sukari iyeyuke
**Chukua amira mimina ktk Nazi na vunjia yai kisha koroga vizuri kisha mimina mchanganyiko Wa sukari na tui zito na endelea kukoroga kisha malizia kwa kuweka iliki au vanila Nazi na amira hakikisha unapata uju mlaini
** Baada ya hapo andaa sufuria yako weka mafuta kisha weka jikoni lipate moto sana epua kisha mimina uji wako na kisha uache umuke
kisha andaa oveni ipate moto kisha baada hapo unaset moto 350f /180c
**Kwa wale wanaotumia mkaa itabidi unze kwa kuweka mkaa chini kisha baada ya kuona juu umekauka weka moto juu kidogo ili usiungue
Mpaka itakapokuonyesha hiviii uona yo ktk picha
Baada hapa unaweka mkaa kido go juu usiwe mwingi Wa kuunguza maana utakufanya MKATE wako kuungua hakikisha unaucheki usiungue baada ya hapo mkautatoka kama hivi kwa wale waliotimia jikoni na oveni

Baada ya hpa paka mafuta /siagi MKATE kabla haujapoa kisha uache upoee kisha kata kwa matumizi safiii kama unavyoona hapa
Tayari kwa kuliwa waweza tumia kwa soda Juisi maziwa,chain,nk
Barikiwa SNA
Karibu sana kwa oda yako SSA 0766866984,0715384812,0659477470
afyanamapishi.bloggers.com
Comments
Post a Comment