Manjumati jikoni afya na mapishi
Tunapika ......UYOGA WA NAZI NA MAZIWA......
MAHITAJI
Uyoga kg 1
Swaumu kijko 1 cha chakula
Tangawisi kijko 1pia
Maziwa glass 2 mtindi
Tumerik ya njano kjk 1 cha chakula
Ajinamoto kiasi kjk 1 cha chai
Vitunguu 2 maji
Karot 1
Hoho 1
Mafuta kiasi
Chumvi kiasi
Corn starch gm25
Nazi ya pact 1
Jinsi ya kukaandaa na kupika
Weka mafuta jikoni na wekan,vitungiu Maji,swaumu,na tanngawizi
Kishakaanga mpaka vibadilike rangi na tia UYOGA wako tia natumeriki koroga mpaka ichanganyikane tia maziwa kiasi kiasi ikinachobakia saga ktk Breda na corn starch saga kisha mimina juu weka ajinamoto na koroga kisha tia maziwa yaliyobakia weka Nazi ya pact 1
Ukimaliza hapo epua moga yako IPO tayr unaweza kutumia mboga hhi kuwa
Unaweza kutumia kwa wali ,ugali,ndizi, chapati,maandazi,...ni
Ni Chef ProsperMushi mbarikiwe sana

Bless you Prosper...
ReplyDeleteSiupendagi uyoga but this one seem to be yum..