Afya na mapishi
Ice candy
=Maji liter 7
=Maziwa ya unga 1 cup
=Unga Wa wanga(corn starch)2 cup....mix with 1.5
=Sukari kg 1 na robo 3 kg
=Chumvi 1/2 (ukipenda)
=Ladha upendayo .:- mfano .,vanilla, mango,chocolate, pineapple
=Mifuko 300 ya kufunga ice candy
Jinsi ya kuandaa ice candy
1=Andaa sufuria yako kubwa kisha weka maji liter 7 yachemke kisha ongeza sukari na Chumvi kama utapenda (ukipenda sio lazima)hakikisha sukari imeyeyuka vzr
2=Chukua maji liter 1.5 na corn starch (unga wa wanga) na maziwa ya unga changanya vzuri
kisha changanya na mchanganyiko Wa kwanza kisha koroga vzr usiwe na mabongekisha chemsha kwa dk 8 na kwa moto mdogo kisha zima jikoni acha ipoe baada ya kupoa ongeza Ladha ukipenda kuchanganya kisha koroga vzr
3=Tunga vimifuko vyako na anza kwa kufunga na kisha kuweka kwa freezer zigande tayari kwa kuuza na kula
Asante ni kwa kuwa na mmi Chef Prosper Mushi
Nawapenda usikose makala ya afya na mapishi inayokuja usikose
0766866984
0715384812
0659477470 au nitembee ktk pag ya Afya na mapishi au
prosperf72@gmail.com
Comments
Post a Comment