Afya na mapishi by Chef Prosper
afyanamapishi.bloggsport.com
Jinfunze jinsi ya kuondoa sickness (kichefuchefu kwa mjamzito)
Ing:-
1) Kula kidogo kidogo Mara nyingi kwa siku
2)Kula potato chips
3)Tumia limao au ndimu
4)Tumia chakula vyenye vitamin B6 na protini kwa wingi
5)Tumia tangawizi
6)Pata kifungua kinywa ukiwa kitandani
7)Pumzika kwa muda mwingi
8)Epuka joto ,kaa sehem yenye hewa safi na upepo
9)Kunywa maji mengi ili kuupa mwilini nguvu zaidi
10)Epuka kula na kunywa vitu venye sukari kwa pamoja
11)Tumia vidonge vya multivitamin
12)Tumia pipi za prggie pops
Zingatia haya :-
Mara kwa Mara udhuria clinic ukiwa na Mme wako ili kupewa ushauri zaidi jinsi kumlinda mtoto na mama .
Asante kwa kuwa nmi Chef Prosper
afyanamapishi.bloggers.com
0766866984
0715384812
0659477470
prosperf72@gmail.com

Comments
Post a Comment