AFYA NA MAPISHI na Chef Prosper
afyanamapishi.blogsport.com
Leo ktk afya nakuletea JUISI YA UKWAJU na faida zake
_Nahitaji
_UKWAJU
_SUKARI
_LIMAO
_Vanilla
Hapa haina mipaka sukari kiasi utakapopendelea
Inafanya kazi gani ktk miili yetu umeshaona jinsi ya kuandaa Juisi hapa tunangazia faida tunazozipata kwa kunywa Juisi hii ya UKWAJU
_Faida ya kwanza ni usaidia mmeng'enyo Wa chakula na huondoa kuvimbiwa
_Huondoa vijisumu mwilini na sio kuondoa tu Bali huuwa kabisa
_Huzaliaha antioxidants ambayo huzuia tatizo LA saratani( cancer )
_Inaongeza vitamini B na C pia Carpenters hushusha joto la homa ya maleria na ya tumboni hulinda mwilini na kukuondolea kero za mafuta ya kooni
Asante sana ni wako Chef Prosper Mushi
afyanamapiahi.bloggers.com
Nitumie maoni yako nami nitayafanyia kazi
0766866984
0715384812
0659477470
Barikiwa sana
afyanamapishi.blogsport.com
Leo ktk afya nakuletea JUISI YA UKWAJU na faida zake
_Nahitaji
_UKWAJU
_SUKARI
_LIMAO
_Vanilla
Hapa haina mipaka sukari kiasi utakapopendelea
JINSI YA KUANDA JUISI YAKO
**Chukua UKWAJU OSHA kidogo na tia ktk sufuria tia maji kiasi kisha chemsha kwa muda wa dk 10 hadi 20 kisha baada ya kuchemsha epua uache upoe.
**Baada ya kupoa chukua chombo kisafi na maji safi kisha anza kuchuja Juisi yako vzuri kisha unaweza kuongeza ladha tia vanillah powder na sukari kiasi upendacho kisha koroga vzr kisha iweke ktk dredge ipoe tayari kwa matumizi
***TUONE HAPA SSA FAIDA ZA UKWAJU ***Inafanya kazi gani ktk miili yetu umeshaona jinsi ya kuandaa Juisi hapa tunangazia faida tunazozipata kwa kunywa Juisi hii ya UKWAJU
_Faida ya kwanza ni usaidia mmeng'enyo Wa chakula na huondoa kuvimbiwa
_Huondoa vijisumu mwilini na sio kuondoa tu Bali huuwa kabisa
_Huzaliaha antioxidants ambayo huzuia tatizo LA saratani( cancer )
_Inaongeza vitamini B na C pia Carpenters hushusha joto la homa ya maleria na ya tumboni hulinda mwilini na kukuondolea kero za mafuta ya kooni
Asante sana ni wako Chef Prosper Mushi
afyanamapiahi.bloggers.com
Nitumie maoni yako nami nitayafanyia kazi
0766866984
0715384812
0659477470
Barikiwa sana
Comments
Post a Comment