ROST MAINI NA CHEF PROSPER

AFYA NA MAPISHI NA CHEF PROSPER MUSHI


                           ROST MAIN
Mahitaji yetu kama unavyoyaona hapo chini 👇👇👇

-maini kg 1
-karoti 1
- nyanya 2 kubwa
-mafuta kjk 1
-hoho nusu ×3 (yellow, red,green)
Tangawizi na swaumu
Coriender(gligilani)
Pilipili kicha 1

Haya ndo MAHITAJI yetu ya maoni kwa Leo twende SSA tuandae vitu vyetu kama unavyoona hapo chini unakata kma unavyoona ktk picha hapo chini👇👇👇
 Baada ya mandalizi hayo hapo juu chini unachukua nyanya na mafuta kjk 1 cha chakula kisha unasaga kama unavyoona hapo
Kwanini unaweka mafuta mafuta unaweka kwenye nynya ili nyanya yako iwe na mwonekano mzuri hata inavyokuwa ktk mboga tofauti inakuwepo kwa alipika nynya iliyosagwa bila mafuta
 Baada ya hapo tunaweka pan yetu jikoni kwa kuanza pishi leti weka mafuta kisha yakipata moto tia vitunguu maji na mchanganyiko Wa swaumuna tangawizi.....nafanya hivi kwasababu maoni yanawahi kuiva vitunguu swaum vinachelewa kwahiyo naanza hvi ili kuondoa kero ya harufu ya swaum mbichi ktk mboga👇👇👇
 Unaongeza main baada ya vitunguu kuiva sio lazima vitunguu kuwa brown maana main vitunguu havitakiwi kuiva sana ili kuwa na mwonekano mzuri👇👇👇
 Unaweka nyanya kisha  unafunika kwa dk 5-8 kwa matokeo mazuri inabidi uache nyanya I've vizuri kabisa
 Unaongeza mchanganyiko wako Wa karoti,hoho,na pilipili kichaa kisha unacha kwa dk 5-10 kisha unaandaa ganishi yako
 Baada ya kuandaa ganishi yako uanweka juu baada maininyakonkuwa tayari kisha unaweza kusevu kwa wali,ugali,pia unaweza kuweza kula na chapati safi na Juisi yako ya UKWAJU  pembeni
Asante sana kwa kuwa mmi endelea na mwendelezo unafuta usikose mapishi yajayo ktk afya na mapishi.... Na Chef Prosper Mushi
afyanamapishi.bloggers.com
0715384812
0866866984
0659477470
prosperf72@gmail.com

Comments