ICE CREAM na CHEF PROSPER MUSHI

JIFUNZE JINSI YA KUTENGENEZA ICE CREAM YA MATUNDA


 HU NI WAKATI WAKO SSA WWE HUTUMII MYAYAI KTK ICE CREAM KUANZA KULA ICE CREAM SSA
NI ICE CREAM ZISIZOTUMIA MAYAI



 MAHITAJI
gr 360fresh strawberries
gr 30sukari
ml300masiwa ya maji
gr 360 fresh cream
kjk 1 1/2 cha chai vanilla
ge 5 chumvi
JINSI YA KUTENGENEZA FUATILIA POICHA HAPO CHINI


 Chukua strawberries ulizokakata kisha weka pembeni hakikisha una kata vipande vidogo na sio vikubwa kisha weka pembeni chukua bakuli safi




Kisha weka bakuli jingine kisha weka maziwa na michanganyiko uliyoandika hapo juu kama hivi uonavyo hapo chininimeweka sukari;vanilla .,naq chumvi kisha koroga mpaka sukari iyeyuke vizuri
Baada ya hapo unakoroga vizr mpaka sukari na vingine ulivyochanganyia vimechanganyika na sukari imecyeyuka vizuri kama uonavyo hapo chini
Baada ya hapo chukua matunda yako na uchanganye na fresh  cream na ukoroge taratibu  mpka vichanganyikane vzuri kabisa na kama uonavyo hapo chini
Kisha chukua mchanganyiko wako kwa pamoja baada ya kuchanganya vzur na ufunike vzri na uweke ktk freza kwa saa 1 hadi 2 au masaa 24 ila mmi nagandisha kwa masaa 2 kwa wale wasiokuwa na mashine





 Hapa inaonekana baada ya dk 20 baada kuweka ktk mashine yako

 hapo kitu kimetoa na kipo kwa mlaji safi sana na kribu sana mahitaji ujihudumie uzuri kakisa

 ni nzuri sana tam pia inakufanya kufurahia maisha kwa ladha safi ndani yake jaribu leo ufurahie na wwe kwa kuanzisha kiwanda kidgo
tari inayobakia hifadhi ktk fridge kwa matumiz ya baadae
ASANTENI SANA MUNGU AWABARIKI 

Comments

  1. creamery near me
    ice cream
    ice cream places near me
    liquid nitrogen ice cream
    ice cream places
    ice cream places
    World Best subzero ice cream
    icecream near me
    ice cream near me open now
    ice cream place
    ice cream shop near me
    subzero ice cream

    ReplyDelete

Post a Comment