KUKU WA KUKAANGA

LEO NA AFYA NA MAPISHI

MAHITAJI YAKE
Paja za kuku
Swaumu na tangawizi iliyosagwa vjk 2
Tumeriki kjk 1
P.manga kiasi
Chils powder
Unga wa mkate
Unga wa ngano
Chumvi kiasi
Ajinamoto nusu kijiko
Changanya mahitaji yako yote kisha changanya vzuri na mafuta kidgo ili kuku wako asiwe mgumu baada ya hapo chanya vzri kisha acha kwa dk 10/15

Kama unavyoona hapo kuku wetu amekolea viungo vzuriiiii kisha tutaendelea na mwendelezounaofuata
Chukua kuku wako mtose ktk unga kisha mtose ktk mafuta hakikisha anakuwa na rangi ya light brown au browwn ila isizidi
Hivi ndivyo inavyotakiwa kuwa baada ya kutosa ktk unga ndivyo inatakiwa kuwa .......tuendeleee mbele saa
Unainjika mafuta jikoni kisha mafuta yakishapata moto unaanza kutumbukiza kuku wako hakikisha mfuta yasiwe ya moto sana ili kuku asibabuke sana ndani hatoiva vzri
Hapo tayari kuku wako wa tayarii kwa kusevu unaweza kula na chips,wali,makaroine nk
CHEF PROSPER MUSHI
afyanamapishi.blogsport.com



Comments