LAVAN MILK

MAHITAJI [necessary of needs]

Maziwa 3 liter[or more]
Eggs  2
corn starch 1/4 cup
sukari 1/4 kikombe

Jinsi ya kupika [Medhod of cooking]
Injika maziwa jikoni kisha koroga corn starch na maziwa kuwa mwangalifu uuji wako usiwe mabonge hiyo intasababisha urudie teta kusaga ktk brenda

Vunja mayai kisha tia vanilla powder ka ukipenda kisha changanya na maziwa kisha saga ktk brenda na changanya ktk mchanganyiko uliopo jikoni wa maziwa na corn starch baada ya hapo koroga vizur malizia kwa kuweka sukari kisha angalia uzito wake [INATAKIWA IWE NZITO KAMA UNATUMIA KAMA KIMIMINIKA] na kama unataka ule kama ice cund basi ongeza uzito nk

Hii ni nzuri sana tena sana wakati wa kifungua kinywa au upendeleo wako tu ukiamua kutumia kama kisindikizio ca msosi wako sawa
asante sana kwa kuwa nmi Chef wako Prosper Mushi

Comments