afya na mapishi inakuletea jikoni leo Chicken bryty cheese
steck ya kuku pisi 3
hoho ulizokata 3 ulizokata julian
karoti 1 uliyokata panishi julian
cheese uliyocret kiasi cha 1 tbsp
wisiles ya karanga au korosho
ibren kidogo ktk brenda
kisha fuata maelekezo ya picha hapo juu na ubaking kwa dk 30 hadi 45
tayari kwa kuliwa safi sana ukishushia na juisi ya leomn au tangawizi safiiii
Chef prosper afya na mapishi
afyanamapishi.blogsport.com
Comments
Post a Comment