Jinsi ya kundaa cake





Jinsi ya kuandaa cake
jikoni afya na mapishi

                     Mahitaji ya muhimu
unga 500 gr
egg 7
sukari 300 gm
siagi 300 gm
baking powder 2 1/2 tsp
vanilla 3 tsp
                     

jinsi ya kuandaa
chukua chombo chako na tia siagi au butter piga ilainike kisha ongeza sukari piga mpka iwe laini na kubadilika rangi

ongeza mayai na vanilla,piga vzr kbisa na chukua bakuli lako chekecha unga na baking powder kisha endelea kukoroka huku ukiongeza unga kidogokidogo mpaka unga uishe
uji wa unatakiwa uwe kama hivi

zingatia usafi wa vyombo vyako  baada ya hapo paka chombo chako mafuta au tumia wheat peper plan au zile za kuokea kisha mimina uji wako na tingisha ushuke vzur na ubakin kwa moto wa 180c kwa dak 30
tayr iache ipoe tayr kwa matumiz

asante kwa kuwa nmi che wako prosper mushi
afyanamapishi.blogsport.com

Comments